@PoisonRecipe@fivara_ Sio kubeza ni kuongea tuu muziki; watu walikuwa wakijichania tuu nje ya beat, wakiongea kwenye beat (in some funny ways), Hawakuwa wakiandika kwa bars, vina vya malenga, topics ndo ziliwabeba na upya wa muziki lakini bado walikuwa hawajakomaa skill wise.
@MwansasuSnr@fivara_ Not really, kuna level fulani ya mastery ukishaifikia ni everlasting, styles tuu ndo unakuta zinabadilika; Mfano kazi za 90s za marekani zote ni🔥…Lakini ukisikiliza za 80s uko uko US unagundua kuna vitu walikuwa wanalack skill wise…saivi game yetu TZ ishafika level ya mastery.
@05_kemmie Mainly ni Lifestyle (ulaji na desturi ya kuwa mobile/active/in motion). Majority are not active, living a sedentary life, craving issues and some eat and eat more as the slogan says.
@05_kemmie@LocalFundi_ Kuna a lot of dy, dx kwenye empirical formula na simplified formula unazotumia. Perhaps huzitumii directly but kazitumia structural engineer kuandaa design na michoro ambayo cost angineer utaitumia to determine quantities and rates. Explains QS mnasomaga some basics za designing