Hakuna mtandao unasumbua kama @VodacomTanzania mpaka mmenikera
Nimekosea kutuma muamala nimejaribu kuzuia jamaa kakuta Ashatoa so niwasiliane na mtoa huduma ila kila nikipiga menu 100 nikifata maelekezo hawanipeleki kuongea na customer care mpaka nimeboreka namba yangu 0764764449
@VodacomTanzania Nipeni option narudishaje hela yangu au Umekula kwangu toka saa mbili napambana kurejesha ila sifanikiwi, tafteni njia nzuri ya moja kwa moja kuzungumza na mtoa huduma kwa wateja
Hakuna mtandao unasumbua kama @VodacomTanzania mpaka mmenikera
Nimekosea kutuma muamala nimejaribu kuzuia jamaa kakuta Ashatoa so niwasiliane na mtoa huduma ila kila nikipiga menu 100 nikifata maelekezo hawanipeleki kuongea na customer care mpaka nimeboreka namba yangu 0764764449
Media Za Bongo zinachangia sana kwenye kuwapoteza Ma-Mc’s wakali na kuwapa airtime walio wa kawaida na Waimba matusi
Nacha
Young killer
Bando Mc
Rapcha
Manengo
Tannah
Chemical
Ni wakubwa Sana kuliko media zao hao wengine zinavowabrand
@FidQ@NikkiZohan@ProfessorJayTz

Ujue nimekua wakati ambao @ProfessorJayTz, @FidQ’ @Roma_Mkatoliki na Rapa wengine wanashindana kwenye mistari na punchline kali cha ajabu nowadays hawa marapa wa sasa wanashindana matusi

Kijana Wa Kiume Siku1 Ukipata Muda Hebu Weka Gari Mafuta Then Endesha Mpaka Mkoani #Manyara, Nenda #Mbulu Kaa Siku1, Kisha Nenda #Hanang Kaa Siku2,Malizia #Babati Kaa kama Siku3.Wakati Wa Kurudi Pitia #Karatu Kaa Siku 1
#NB
-Usiende Na Wife
-Hakikisha Una Pesa
Thank Me L8r