Mchezaji anayenivutia uwanjani, siku zote nilitamani kucheza naye, Babu Kaju @sureboytz8 fundi wa mpira. Ndoto ya kijana mdogo kutoka Zanzibar imetimia na sasa tunashinda makombe pamoja. You're the best Babu Kaju๐คนโโ๏ธ๐ช - Goli la Tatu๐ค Clever. #Feitoto@yangasc1935
Mchezo mgumu ugenini, sio mbaya pointi moja kwa leo, tumejitahidi. tunasonga mbele tukijipanga upya na kurudi kwenye pointi 3. Asanteni wananchi kwa sapoti yenu, asanteni kwa kujaa uwanjani pia. #Feitoto