Tulimwambia hatakaa afike mbali kwa kuwa ni mbabaishaji na scammer..
Na tutaendelea kuwa report kila kona mpaka kwa Mungu maana huu ni mpango wa giza na una lengo la kufadhili ugaidi na mambo ya kihalifu
Hakuna demokrasia inayopoganiwa Tanzania ni blah blah tu