@Nnauye_Nape Wale wote wenye ndoto ya kupanda mlima Kilimanjaro na wakashindwa kwaajili ya gharama, sasa majibu yako ni hapa.
Tutakupeleka mpaka kilele cha mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi na tutakuhudumia ipasavyo! Timiza ndoto yako sasa.
WhatsApp me 0621281258
Natoa wito kwa wale wote ambao hamjawahi kutembeleaa hifadhi ya Taifa kilimanjaro.
Kama unandoto na unashindwa kuzitmiza kwaajili ya gharama basi kuanzia sasa utakwenda kuzitimiza kwa kupanda mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi!
Nitumie ujumbe WhatsApp 0621281258
Karibu hifadhi ya Taifa Serengeti.
Tunakupa nafasi ya kutalii kwa gharama nafuu kwa kila mtanzania anaetamani kutembelea hifadhi ya Taifa Serengeti na hifadhi zingine za taifa.
Karibuni nyote!
Welcome to Serengeti National Park
Hata wewe mtanzania unaehitaji kutembelea hifadhi ya taifa Serengeti unaweza na unakaribishwa, njoo ufurahi na famila yako sasa 🙏🏽
@elonmuskTN If Elon Musk gave me a million dollars, I would invest a portion of it in my education and future opportunities, donate some to causes that are important to me, and use the rest to start a business or project that aligns with my passions and goals.
@SuluhuSamia Mama siombi kitu kingine chochote mama yangu mpendwa,naomba tu unipe tenda siku ya UHURU kupeleka watanzania mlima Kilimanjaro, sisi vijana wenye knowledge hatuna sauti kwa wamiliki wa makampuni makubwa ya utalii, nina vyeti vyote vya Tourism na pia kikampuni changu ni kidogo tu.
@SuluhuSamia Mama yangu naomba usome maombi yangu tafadhali mama nakiomba ukiyasoma usiyapite,
Nimesoma Mountain tour guide na nina Experience kuliko wenye makampuni makubwa amabao huwa mnawapa tenda ya siku ya UHURU amabao wanatumia naarifa yetu kwa maslahi yao binafisi, mlima nimesoma wot
@SuluhuSamia Kazi ya UHURU DAY huwa wanapewa makampuni makubwa yenye connection na viongozi na tukiomba ushirikiano kutoka kwao wanatunyima! Naomba utuwezeshe na sisi vijana tunaojitafuta tuweze kupata mwelekeo mzuri, Tunaomba utupe tenda ya uhuru, mama tafadhali mama yangu tunaomba utusaidie
@SuluhuSamia Mama tafadhali naomba tu unisaidie kunipa uhusika wa kazi ya siku ya UHURU nipeleke watanzania wenzangu na viongozi wa Tanzania kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro, mama najua unasukia na ninaimani utalipokea hili kwa mikono yote 🙏🏽 Naomba siku ya UHURU kampuni yangu ihusike
@SuluhuSamia Mama shikamo mama yangu mpendwa, mama naomba leo usome ombi langu na ulipokee 🙏🏽
Mama mimi ni mwongoza watalii mlima Kilimanjaro na nina uzoefu wa kutosha hivyo nilikuwa naomba nipatiwe tenda ya kazi ya siku ya UHURU kupeleka watanzania pamoja na viongozi mlima Kilimanjaro. 🙏🏽