@Royaltv_plus Maridhiano unayoyasema ni kati ya nani na nani kwani? Na unadhani baada ya hayo unayoyaita maridhiano kufanyika ndo mwenyekiti wa chama ataachiwa??
@Royaltv_plus Ila bro sikudhani kuwa upo hivo ulivyo, kwani matamko yanayotolewa na chama chako wewe huyaelewi? Nakushangaa sana!! Unaonekana hata wewe hujitambui kabisa, yaani nakuonea huruma kabisa.
@NkhosiMalume @godbless_lema Kwani wewe Danny ukiandika bila kumtukana matusi makubwa hivo utakufa? Kwanini mnapenda matusi? Lema toa neno la unabii kwa huyu ndugu, asimtanie mtumishi wa Mungu. Toa neno mkuu!!!