@Elsukay0 Wakati wa tendo cha ndoa, watu wawili wanakuwa mwili mmoja. Mtu anaposhiriki na wanawake wengi, anachukua na kuunganishwa na vifungo vya kiroho, roho chafu, au shida za kiroho alizonazo kila mwanamke anayekutana naye.
@FKihamu Kaka we ni mtu wa boli ni aibu kuona mkoa wenye vipaji vya kutosha na kutokuwa na timu premier . Wan moro tunaumia watu kqma nyie wenye influence tena mnatokea Moro mliangalie hili sio kulinyamazia