Baada ya trending ya jana duniani jamaa anasema "Toka juzi nimepokea jumbe, Dm kwa email 📧na inbox sielewewi ni lugha gani lakini siwezi kujibu kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kujua nini sababu ya ukubwa wa dm zangu kuwa vile"Wabongo mmeanza kumtukana hadi mwenye mtandao sio😢
Sentensi 20 zitakazokupa maisha na kubadili kabisa mtazamo wako 🧠
Kwako mwanume...
#SIKU100ZAUHURU DAY 33.
Repost🙏
Utakuwa bora zaidi na kuingiza mkwanja mrefu ukijua kuongea na kuwasiliana vyema.
.
.
Pesa unazotafuta hazipo mitini, zipo mifukoni mwa watu. Ongeza thamani, Jifunze namna bora ya kuzivuta.
.
.
Hatuishi tu. Tafuta kabila lako. Jichanganye na grupu la watu litakalo ku- inspire na kuwasha moto wa mafanikio ndani yako. Iwe ni marafiki au mentors. Usikae na kikundi cha waharifu
.
.
Kuuza ni ujuzi, kuuza ni sanaa usijidanganye kwenda kichwa kichwa. Utaacha pesa mingi sana huko nje. Learn and master the art of selling.
.
.
Duniani hakuna anayejali – Ulale njaa – Usiwe na kazi
Wazazi wako wataabike – Wadogo zako wasiende shule. No one cares. AMKA Jisimamie kwa miguu yako.
.
.
Komaa sana – Hakuna jambo jema duniani kama kuweka tabasamu kwa mama na mshua wako. Do it. Itakubariki sana.
.
.
Kamwe usitumie nguvu kumuonesha mwanamke jambo. Be man, ongea kidogo. ONGOZA.
.
.
Usipoteze wakati kukimbiza na kulilia mapenzi. Dawa ya mapenzi ni wewe kuwa na thamani zaidi. Aidha mkwanja, sifa, status. Yatakuja menyewe tu. Ukiwa kapuku utalia mpaka kesho. Work on yourself.
.
.
Linda Homoni zako za testosterone zidi ya bia, soda, sukari, soya na mafuta ya kupikia ya mbegu.
.
.
Kadri unavyoonesha kumpapatikia mwanamke, ndio unampa kiburi cha kukukataa.
.
.
Ukienda chuo kusoma utatoka na cheti tu. Stuka – Jifunze ujuzi wa ziada na kuwa bora kweli kweli, itakulipa. Cheti hakitoshi.
.
.
Lugha mwili inaongea zaidi kuliko maneno. Jifunze kuangalia visivyosemwa.
.
Confidence yako ni mtaji kubwa kwenye maisha. Itakupa michongo. Jiamini.
.
.
Siku zote kumbuka. Ujuzi unaoujua vyema utakupa maisha. Unaweza usipate kazi lakini ukapata michongo mingi ya maana.
.
.
Porn, puli na betting zinakuzoofisha sana subconsciously. Jifunze kuishi kwa jasho lako.
Jipiganie. Work hard on your dreams. Achana na instant gratification.
.
.
Mtaa umejaa walimu. Kuwa na marafiki wa kweli. Kuwa na walimu wa dunia. Usiishi na energy mongers.
.
.
Ukiwa unaongea na watu, SIKILIZA.
Wakimaliza, ONGEA.
Wakikukatisha, KATAA mpaka umalize.
.
.
Usikubali mtu afanye utani na ndoto na kitu kinachokuweka mjini. PIGANIA ndoto zako.
.
.
Heshimu sana watu wanaokupa nafasi ya kujitengeneza. Usisinitch watu. Uaminifu utakupa maisha.
.
.
Daima kumbuka kuna tofauti ya kusoma lugha na kujua kuizungumza. USISOME – JUA KITU.
REPOST🙏
Kujifunza zaidi:
FOLLOW ME: @millambo_
Join our Telegram Channel:
https://t.co/oDLpBYireS
#SIKU1OOZAUHURU
Ukweli Mchungu Ambao Vijana Wengi Hawapendi Kuusikia...🧠
Huwezi kupata LAKI kama Juhudi zako ni za Buku.
KIPATO chako ni sawa kabisa na JUHUDI zako.
Huwezi kuvuna, Usipopanda Abadani...🤔
Sikia hii:
Msidanganyike, Mwenyezi Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna… Wagalatia 6:7.
REPOST.
1. Kipato unachoingiza ni sawa kabisa na umuhimu wa kile unafanya, uwezo wako wa kukifanya na ugumu wa kupata mbadala wako.
Kile unafanya kadri kinavyogusa maisha ya wengi, ndivyo unafanikiwa.
Kile unafanya kadri unavyokuwa bora zaidi ndivyo dau lako linapanda...
Kadri watu wanavyoshindwa kupata mbadala wako ndivyo thamani yako inapanda zaidi.
Man, pandisha thamani yako, fanya kwa viwango vya juu sana.
2. Kadri unavyoongeza juhudi kwenye kile unafanya matokeo yanaongezeka.
Ukiifanya mazoezi kidogo, utakuwa wa kawaida.
Ukipost na kuuza kidogo, utapata pesa kidogo.
Ukibadili na kuanza kufanya x10 zaidi, matokeo yatakuwa x10 zaidi ya kawaida.
You know what to do.
3. Tatizo kuna vijana wengi hawana nidhamu na hawajiheshimu.
Ukiweka malengo yako huyafati.
Ukipata muda huutumii vyema.
Ukiagizwa na wengine, unafanya utadhani umetumwa na kijiji...
Ukiwa na jambo lako yaani unakuwa huna mzuka kabisa.
Change. Sio lazima utumwe ndio uwe serious.
Otherwise utaishia kutumwa na kujenga ndoto za wengine.
4. Kama hupati matokeo unayodhani ni sahihi kwako, FANYA x10 zaidi.
Post x10 zaidi,
Uza x10 zaidi,
Tokea x10 zaidi,
Tangaza x10 zaidi.
Hamna uchawi.
Wewe ni mvivu tu.
Fanya mara KUMI ZAIDI. Na matokeo yake yatakuwa x10 zaidi.
5. Ukishindwa kujituma, wana watakutuma.
Ukishindwa kujisimamia, wana watakusimamia,
Ukishindwa kujenga maisha yako, utajenga ya wana,
Maisha ni kuchagua. Ujijenge ama utumike kujenga wana.
KAZI KWAKO.
6. Kadri unavyowekeza kwako ndivyo unavyokuwa beast.
Sikia, hakuna kitu kinakuja kwa bahati.
Wapo waliobahatisha, wakatusua.
Ni wachache, unaweza usiwe hata na mifano.
Mafanikio ni suala mtambuka, ni maamuzi yako binafsi.
Mafanikio sio ajali, ni machakato. Chakata yako.
7. Usione ukadhani watu wametusua kirahisi,
Tunawaona wachezaji wakishine, kumbe wame-train sana.
Tunaona watu wana maisha mazuri, kumbe wanaishi sana porini.
Utaona mzeiya ana dream life yako, wewe unatamani alipo,
Lakini huwezi ku-sacrifice hata robo ya majitoleo yake.
SOMO la leo:
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna… Wagalatia 6:7
REPOST.
Kujifunza zaidi:
FOLLOW ME: @millambo_
Join our Telegram Channel:
https://t.co/oDLpBYireS
#SIKU100ZAUHURU
Uzi : BIASHARA 150 UNAZOWEZA KUFANYA( Kwa mtaji wa Wastani )😶
Na @BugeshiC
Re-Tweet kwanza then twende pamoja.👇
Chanzo : Muungwana Blog
Miradi Mbalimbali Nchini Tanzania
1. ●Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
Hii unaweza kuifanya popote utapiga hela sana.👇
TATOZO LA SHAHAWA NYEPESI NA IDADI NDOGO YA MANII "LOW SPERM COUNT" .
uzi🧵
Retweet 🔄 kwa afya yako uzazi.
Fahamu sababu zinazopelekea na Nini kifanyike ili kuimarika zaidi.