Tumefungua rasmi mradi wa Maji Kigamboni unaofanya upatikanaji wa maji Dar es salaam sasa kuwa asilimia 100. Uhaba wa maji unatokana na mabadiliko ya tabianchi lakini pia na sisi wananchi, kwa kuchepusha maji na kufanya shughuli za kibinadamu katika vyanzo vya maji. (1/4)
@omari_manyama@HildaNewton21 Kwa hiyo ulitaka kila mtu amtukane yeyote. Kumbuka haki yako inapoishia ndipo haki ya mwenzako inapoanzia. Tujifunze kuwa wakweli
Putin azungumzia anguko la Magharibi:" ✔Brazil lilikuwa koloni kubwa la Ureno ila sasa kuna watu milioni 10 nchini Ureno leo, na milliin 200 nchini Brazili.
✔ Vip Uingereza!!? ilikuwa na nguvu kubwa kiasi gani???, leo ina watu milioni 67 nchini, wakati koloni kubwa la 👇