@AdoniasMusa@drmlalukoMD Ukuda sana imagine upande mwingine wakisema neno kidogo tu utasikia wamedakwa ila hawa kina mwaipoponya wanaleta vivid evidence hadharani kuonyesha wao ndo wanaua raia lakini wanapewa blessings π
@mreno255 Ukikuta mtu ni mashuhuri katika Ushauri wa jambo Fulani basi ujue huyo hawezi kufanikiwa kufuata Ushauri wake mwenyewe ndo maana Ushauri ni kama Rushwa π