Tunamshukuru Mheshimiwa Rais- Dkt Samia Suluhu Hassan- kwa kuchampion mradi wa Mchuchuma na Liganga ambao ni mradi wa Kimkakati wa kiuchumi Kitaifa- uliopo Wilayani Ludewa, Mkoani Njombe.
Amelipa Fidia ya Bilioni 15- kwa wananchi ambao wapo maeneo ya mradi huu, ili kuweza kupisha eneo la mradi
Mojawapo wa wanufaika ni Vijiji ambavyo vilikuwa na maeneo na ardhi kwenye maeneo husika ya mradi.
Kijiji mojawapo kilichonufaika ni Kijiji cha Mundindi ambacho kipo Kata ya Mundindi- Wilaya ya Ludewa, kilipokea Fedha Milioni 464- Juni 2023, ambapo uongozi wa Wilaya nzima akiwemo Mbunge, DC, DED- Madiwani walihusika kwenye uratibu, usimamizi, uelimishaji wa masuala la fedha nk. Juni 2024 wamepokea gawio la kwanza na wamewekeza kwenye Bima.
Diwani wa Kata ya Mundindi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri alishauriana na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mundindi sambamba na Village Council nzima, na wakaamua kuwa wanunue Hati Fungani, wakanunua CRDB KIJANI BOND- ambayo kwa pamoja tulibariki tukiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe Mtaka; na Juni 2023 tulifanya maamuzi jumuishi ya kununua Bondi ili kila mwaka kuwe na gawio ambalo watapanga matumizi yao.
Kwahiyo kwa Gawio la Kwanza wamenunua Bima ya Afya kwa Kijiji kizima- na wameweka mkakati wa Kutoa โMundindi Scholarshipโ kwa vijana wa Kijiji hicho kusomeshwa haswa kwenye fani za Stadi za Ufundi na Ujuzi ambao unaweza kuwapa nafasi za kujiajiri na kuajiriwa kwenye hii miradi ya Mchuchuma na Liganga.
Tunawapongeza sana na tupo nao bega kwa bega kwa maendeleo ya Kata yetu na Wilaya yetu kiujumla.
#Ludewa #LudewaYetu
Taarifa:
Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo.
Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia Tanzania dola milioni 250 sawa na Sh650 bilioni.
Mahindi hayo yatakayosafirishwa kwenda Zambia yatatolewa katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ambapo kwa kituo cha Songwe mahindi tani 55,000, Makambako tani 75,000, Sumbawanga tani 250,000 na Songea tani 270,000.
Mkataba huo umesainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NFRA Dk Andrew Komba pamoja na Mratibu wa Maafa kitaifa nchini Zambia Dk Gabriel Pollen, wakishuhudiwa na mimi kama Waziri wa Kilimo,
Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Kilimo Zambia Reuben Phiri.
๐ฎFAHAMU SWALA YA MAITI๐
Waislam wengi hatufahamu nini kinasemwa au kufanyika wakati wa kumswalia maiti kitu ambacho kinapelekea wengi wetu kuliwacha jambo hili.
Kupitia Post hii naomba upate kufaham maelekezo muhimu kuhusu swala ya maiti..
The 48 Laws of Power ni jina la kitabu cha Robert Greene chenye kanuni hizo 48. Mantiki ya kanuni hizo ni hii: tunaishi katika dunia iliyosheheni watu makatili, wenye roho mbaya, wasio na huruma, wachokozi, wenye wivu, wenye kisasi, washirikina, wabinafsi, wanaofurahi matatizo ya wenzao, wanaokandamiza wenzao, wanaotesa, wanyanyasajiโฆkwa kifupi, dunia haina uhaba wa watu wabaya.
Na kanuni hizo 48 ni mikakati ya kusalimika katika dunia iliyosheheni watu hao.
Katika hatua ya kwanza wa mfululizo wa twiti hizi, Jasusi atakutajia kanuni zote 48 na tafsiri yake kwa Kiswahili, na baadaye atafanunua moja baada ya nyingine.
1. Never outshine the master. [Usitake kumpiku bosi wako. Neno โbosiโ hapa linatumika kumaanisha mtu mwenye mamlaka zaidi yako, na sio lazima katika mazingira ya kazi pekee]
2. Never put too much trust in friends; learn how to use enemies. [Usiweke imani kubwa sana kwa marafiki; jifunze jinsi ya kuwatumia maadui]
3. Conceal your intentions. [Ficha ni yako]
4. Always say less than necessary. [Wakati wote, usiseme zaidi ya kile unachopaswa kusema]
5. So Much Depends on Reputation. Guard it with your Life. [Vitu vingi vinategemea hadhi yako. Ilinde kwa nguvu zako zote]
6. Court attention at all costs. [Nasa mvuto wa watu kwako, kwa gharama yoyote ile. Neno mvuto hapa linamaanisha ile hali ya watu kuchukua muda wao au kuacha shughuli zao, na kukupa muda wao kukusikiliza, kukusoma,kukuona,nk]
7. Get others to do the work for you, but always take the credit. [Wafanye watu watende jukumu kwa ajili yako, lakini mara zote wewe ndio uchukue sifa kutokana na matokeo chanya ya jukumu hilo]
8. Make other people come to you; use bait if necessary. [Fanya watu waje kwako - kwa mfano kuhitaji msaada,ushauri,nk - tumia chambo kama itahitajika]
9. Win through your actions, never through argument. [Shinda kwa vitendo, kamwe si kwa malumbano]
10. Infection: avoid the unhappy and unlucky. [Maambukizi: epuka watu wasio na furaha na wenye mikosi]
11. Learn to keep people dependent on you. [Jifunze kuwafanya watu wakutegemee]
12. Use selective honesty and generosity to disarm your victim. [Tumia ukweli na wema wa kimkakati kumuondolea uwezo wa kujikinga mtu unayemlenga]
13. When asking for help, appeal to people's self-interests, never to their mercy or gratitude. [Unapoomba msaada, vutia maslahi yao, kamwe isiwe kutokana na huruma yao au wema wao]
14. Pose as a friend, work as a spy. [Jiegeshe kama rafiki, fanya kazi kama jasusi]
15. Crush your enemy totally. [Mwangamize kabisa adui yako]
16. Use absence to increase respect and honor. [Adimika ili kuongeza heshima]
17. Keep others in suspended terror: cultivate an air of unpredictability. [Wafanye watu wawe kwenye hofu iliyoahirishwa, tengeneza hali ya ya kutotabirika]
18. Do not build fortresses to protect yourself. Isolation is dangerous. [Usijenge ngome kujilinda. Kujitenga ni hatari]
19. Know who you're dealing with; do not offend the wrong person. [Elewa unadili na mtu gani; kamwe usimtibue mtu asiyestahili kutibuliwa]
20. Do not commit to anyone. [Usijifunge kwa mtu yeyote ule]
21. Play a sucker to catch a sucker: play dumber than your mark. [Jifanye zuzu kumnasa zuzu: onekana mjinga kuliko uwezo wako ulivyo]
22. Use surrender tactic: transform weakness into power [Tumia mbinu ya kujisalimisha: fanya udhaifu kuwa nguvu]
23. Concentrate your forces. [Imarisha โmajeshiโ yako]
24. Play the perfect courtier. [Jifanye mhudumu mtimilifu]
25. Re-create yourself. [Jitengeneze upya mwenyewe]
26. Keep your hands clean. [Usijichafue - sio na uchafu wa taka bali kutojihusisha na mambo yanayoweza kuharibu taswira au hadhi yako]
27. Play on people's need to believe to create a cult-like following. [Tumia mahitaji ya watu kutengeneza wafuasi watiifu]
28. Enter action with boldness. [Ingia shughulini kwa ushupavu]
29. Plan all the way to the end. [Panga jambo hatua kwa hatua hadi mwisho wake]
30. Make your accomplishments seem effortless. [Fanya mafanikio yaonekane kuwa yalipatikana bila jitihada kubwa]
31. Control the options: get others to play with the cards you deal. [Miliki hiari; wafanye watu wafanye mambo kutokana na matakwa yako]
32. Play to peopleโs fantasies. [Tumia tamaa za watu kutimiza matakwa yako]
33. Discover each manโs thumbscrew. [Fukua makaburi - kwa maana ya kuchimba mapungufu, siri, mabaya, aibu, nk kuhusiana na mlengwa]
34. Be royal in your fashion: act like a king to be treated like one. [Fanya mambo yako kifalme: ili uheshimiwe kama mfalme, tenda mambo yako kama mfalme]
35. Master the art of timing. [Kuwa mbobezi kwenye sanaa ya mpangilio wa muda]
36. Disdain things you cannot have: Ignoring them is the best revenge. [Tweza vitu ambavyo huwezi kuwa navyo: kuvipuuza ni kisasi stahili]
37. Create compelling spectacles. [Tengeneza matukio ya kuvutia hisia za watu]
38. Think as you like but behave like others. [Waza utakavyo lakini tenda kama wengine]
39. Stir up waters to catch fish. [Tikisa maji kukamata samaki]
40. Despise the free lunch. [Tweza vitu vya bure]
41. Avoid stepping into a great man's shoes. [Epuka kuvaa viatu vya mtu mahiri. Hapa neno kuvaa viatu linamaanisha kushika nafasi ya mhusika]
42. Strike the shepherd and the sheep will scatter. [Mtandike mchunga mifugo, na mifugo itasambaa]
43. Work on the hearts and minds of others. [Jitahidi kugusa akili na nyoyo za watu wengine]
44. Disarm and infuriate with the mirror effect. [Inyanganye nguvu na kuigadhabisha tabia inayomwezesha mtu kuiga nafsi au/na matendo yako]
45. Preach the need for change, but never reform too much at once. [Hubiri umuhimu wa mabadiliko, lakini kamwe usilete mageuzi kwa mkupuo]
46. Never appear perfect. [Kamwe usionekane mtimilifu]
47. Do not go past the mark you aimed for; in victory, learn when to stop. [Usivuke hatua uliyoikusudia; katika ushindi, jifunze jinsi ya kuhitimisha]
48. Assume formlessness. [Kuwa mtu usiyeelezeka, usiyeshikika]
Kama alivyoahidi awali, Jasusi atakuletea maelezo mafupi ya kila law.
Father God we thank You for another lease of life. Today, we come to You with brokenness asking for mercy. We repent of all filth in our hearts. Lord have mercy and forgive our sins. Strengthen our faith in You and clothe us with Your love and grace. In Your name, we pray. Amen.