@earadiofm Imagine TPC wanatumia underground water kumwagilia hekari za kutosha za miwa lakini mitaa ya jirani hawana maji TPC ni private sector lakini mitaa ya jirani wako chini ya government inayotoza kodi bandarini day and night inamtoza mwanachi kila dakika lakini maji na umeme ni shida
@earadiofm Ni kama jinsi ilivyo kwenye familia chakula ama maji yakikosekana mlezi wa familia lazima uajibike na kuhakikisha kwamba tatizo limetatulika sasa wewe waziri unatatua kwa mgao kweli.
@earadiofm Leo hii waziri unajitokeza na kuhalarisha mgao kweli! Je hili janga likiendelea kama mwaka hivi Tanzania tutakuwa wapi? Ni wakati wa kujipeleleza na kujiuliza vitu tunavyovifanya je ni sahihi miaka 61 ya uhuru bado tunapanga foleni ya maji duh. Shame on us.
@earadiofm Moja ya kitu muhimu katika maisha ya binadamu ni maji ila kwa maendeleo ya nchi ni umeme tunakwama wapi Tanzania hata hivyo nahisi hata Mungu anatushangaa sana! Kwenye hivi vitu hatupaswi kupta tabu kabisa. Kama tu yanasumbua na si kwamba hayapo yapo ya kutosha. Je huduma za afya
@earadiofm Hahaaaaa na bado unataka tufike uchumi wa juuu. Hapana! Imagine nchi yetu imezungukwa na maji kila pembe ya ramani na bado water bed ipo karibu sana na sisi na si kwamba tumebobea katika kilimo cha irrigation na mbaya zaidi hata maji ya kunywa ni shida! Je tungelikuwa wa Saudi?
Mshambuliaji hatari wa Man United mwenye Umri wa miaka 23 tu na mwanaharakati anayepinga Ubaguzi,Umasikini na njaa kwa watoto,Marcus Rashford ametunikiwa Udaktari wa heshima na chuo kikuu cha Manchester kwa harakati zake zinazoigusa jamii. Je jezi yake iandikwe Dr.Rashford?