@Phbhimself Njiwa ni wazuli sana tangu nilipo mpaka leo tunafuga njiwa niliwahi kuumwa mwaka 2006 hivi nikalazwa nilipo toka hospital nikakutana na Rost lq njiwa nyumbani nili feel better sana alafu ni alarm nzuli sana ilikuwa kipindi tuna soma kidumu chelewa I love them