@chapo255 Ukiwa na hela hata kwa hapa bongo hauwezi zikwa mzobemzobe baada ya kukata moto, ndugu wafasubiriwa. Ila ukiwa hohehae ukifa saa 1 asubuhi saa 7 unazikwa.
it's about power to make choices without being judged.
Binafsi huwa siwalaumu wao kuwa masingle maza lakin ukifatilia wengi siku hizi wamekuea wakilaumiwa sababu ya tabia zao kwa wanaume watakao waamin, ndio maana wamekuwa wakibeba lawama
Kwanini tunamhukumu sana Single Mama bila kumjadili Mwanaume mwenzetu huenda alikimbia majukumu yake? Kwanini tunawapa adhabu kali kuamini usingo ni makosa yao pekee?
Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.
1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN
6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN
1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN
🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.
👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow