@Ngattaboe99 Bola wewe me nlifungua banda la chips week zima nkauza sahani moja kavu,
Mpaka leo nikikumbuka nilivyokuwa natia huluma kwenye lilebanda sitaman tena kujiajili
Kwa Kijana Anae Jitafuta Boksa Moja Inauzwa Elfu 5 Mpaka Elfu 15 Lakini Chupi Moja Inauzwa Elfu Moja Sijakwambia Ununue Chupi Lakini Hata Wewe Fikiria...!
Kuna Nesi mmoja ni mmbongo Yupo Uswiss nimemuona anashauri madogo kwamba kama wanataka kazi fasta kwenye sekta ya Afya wasome Nursing.
Amesema Nursing inakubalika kimataifa na unaweza fanya kazi nchi yeyote ata kama umesoma Nursing Tanzania.
Akasema Kozi kama udaktari ukiisoma Tanzania ukienda mfano Uswiss uwezi ajiriwa itakuhitaji usome tena Miaka mingine 6, lakin Nursing unafanya tu mtihani wa kuthibitisha vyeti unaingia kazini.
Akasema pia Kozi kama Clinical Officer sio kozi ya kusoma, iko limited sana utafanya tu kazi zahanati za vijijini.
Kasi kwenu mliopangwa Form Five.