|Creative Content creator |Digital Marketing Agency| |Fashion stylistππ|social media expert l
#Transforming ideas into visuals, boosting your brand, with us#.
@Mrsdaviee Afu..huyo hakuwa baba yake alikuwa professor aliyemfundisha master na hapo ilikuwa siku ya graduation ya huyo mshikaji akaamua kupiga picha na professor wake
@Wakazi We mjuba vipi si ulisema ufanyi mziki kupata views ina maananisha hata views wenyewe uwajui kama ndo mashabikia au raia wanaosikiliza mziki wako.
Wewe kama utaki view kwanini unawalalamikia hao presenters???
#akilia yako ipo wapi @Wakazi ???