#Connect Urafiki wa kweli haupimwi na umbali wala hali…
Lil Baby aonyesha upendo wa dhati kwa kumpigia Lil Durk simu akiwa gerezani, akimthibitishia kuwa bado yupo naye bega kwa bega licha ya changamoto.
Celebrate, smile & stay tuned with Refresh Gang. EID EL-FITRI!
Tuwe na amani, baraka, na furaha katika familia, jamii na maisha yetu yote.
#refreshgang#eidalfitr2026
Bifu ya Rick Ross na 50 Cent haikuishia kwenye muziki tu imeacha majeraha hadi kwenye familia. Binti wa Rick Ross Toie afichua sakata la video ya faragha iliyomhusisha mama yake lilimuathiri sana kisaikolojia, akionyesha upande wa pili wa bifu za hip hop ambao wengi hawauoni.
#Refresh Inadaiwa Rapa maarufu Ye (Kanye West) huenda akatumbuiza kwenye ufunguzi wa FIFA World Cup 2026, itakayofanyika Marekani, Canada na Mexico lakini hadi sasa hakuna uthibitisho wowote rasmi kutoka FIFA wala Kanye mwenyewe.
Kama ikitokea, basi itakuwa ni show ya kihistoria
Latto aingia “era” mpya! Athibitisha ujauzito wake na 21 Savage na kutangaza album yake mpya BIG MAMA itakayodondoka May 29. Ameanza pia kuonyesha ladha ya album kupitia track yake mpya “Business & Personal”, akiweka wazi maisha yake na hustle kwa level nyingine! #refreshgang
#Connect Baada ya beef na Kendrick Lamar na kuomba radhi, J. Cole alipokea backlash kubwa. Lakini yeye anasema ilimsaidia kujitambua na kukumbusha upendo wa kweli wa muziki, ikimfanya awe msanii bora zaidi.
#Connect LeBron James ameonyesha Mercedes‑Maybach S 680 yake ya kifahari, iliyotengenezwa maalum kupitia program ya MANUFAKTUR. Gari hili ni la kipekee, limebuniwa kwa mahitaji yake binafsi na lina logo yake. Zipo mbili tu duniani, moja kwake, nyingine ikionyeshwa hivi karibuni.
Celebrate, smile & stay tuned with Refresh Gang. EID EL-FITRI!
Tuwe na amani, baraka, na furaha katika familia, jamii na maisha yetu yote.
#refreshgang#eidalfitr2026