Ufisadi mkubwa katika mradi wa makaa ya mawe Ngaka. Tancoal Energy ltd imehusika katika kupiga pesa za Watanzania na zingine kwenda kuwekezwa kwenye kampuni mwenza TANZCOAL ya Malawi huku sisi tukiendelea kuramba hasara.
Jamani , Wonders Shall Never End in Tanzania . It doesn’t make sense that StamiGold, a state owned company has no electricity for months now and is using 450 liters of Petrol per month to run it’s operations #changetanzania#TanzaniaUnforgettable
Im too negative towards #bongofleva music..nikasema ngoja 2day nisikilize @CloudsMediaLive@KenTheRemedy Najuuta to waste my time.Nyimbo ni Mapenzi matupu..seriously How?wasanii wameishiwa au?they dont play other artists?i heard @Wakazi snippet
@IAMartin_@TitoMagoti Felt tears ...I'm a father. How did we get here ??? LIFE IS PRECIOUS AND A GIFT FROM GOD. How come binadamu anakuwa na roho ya kishetani just bcuz somebody doesn't agree with you.
Pichani; Ben Rabiu Focas Saanane akiwa na mwanae, Paula. Picha hii ilipigwa 7.12.2011 na miaka 5 baadae November 2016 Ben anatekwa na kupotezwa na kumuacha bintie bila uwepo wake. Paula hajui kama baba yake ni MFU au bado yupo hai. Hii ni gharama ya kuwa mpinzani nchi hii. KIFO!
@IbnOmar14@MariaSTsehai@JMakamba Mwambie MH @JMakamba wana malengo gani ya chupa za plastick? Mifuko tu ndio usimamizi ulipo? Why wasingechomekea kasheria kadogo kwa wazalishaji wa chupa za plastiki.