@MarekaMalili Kuna mtu anajega nyumba ya kuishi na kuna mtu anajenga nyumba ya biashara.
Kama una pesa nadhani wazo nzuri n kujua unaifanyia kitu gani ili izidi kuongezeka na kukuwa zaidi ndio uje ujenge.
@MarekaMalili Kwanza pesa haina tabia ya kuja na kuondoka Kaka. Most of people hatuna nizamu ya kutunza pesa ndio maana tunaona kama pesa inakuja na kuondoka. Ukitoa kifo kuhofia Family yako itaishije baada ya umauti naweza nkasema kujenga n wazo sahihi. Pia kuna kujenga kwa aina 2.
@Mkunga_Og Au Tafuta punje 2 za kitunguu swaumu kila siku kama huna matatizo ya pressure ya kushuka. Kila siku punje 2. Na Asali kijiko kimoja kila asubuh na jion
@VanesaTemba Mimi pia nlienda kutembea huko, toka Dar nkalala Mbeya asubuhi nikaenda huko ni mbali sana ila wale mabinti kule wamechoka sana na wamekata tamaa ya maisha. But ni sehem poa