@KenyanSays Sasa kama bunge hawajui wanangoja 4 trillion itoke Ndio wajue kuna shida kidogo mahali sirikali nayo wamezidi niliona mbaka prezo WA Ethiopia area na hamjui contract ni ya nini na Nani bunge ivunjwe watu waende Kura
@Dr_AustinOmondi Unajua 2017 dp alikua Nani kabla ajitoe 2018 kama anawajua washikwe sai alisema atawashika tuko 4yrs na murkomen alikua senator pia yeye ajawatafuta