TO BE A MAN #DAX
A man is made, not born.
You become a man through your actions, not your words.
You become a man by shouldering responsibility, not by seeking attention.
You become a man by becoming reliable, not by making noise.
Men in the matter of women. Never ever think you're an exception. You either learn from another man's mistakes or another man will learn from your mistakes But always remember, Not every mistake can be corrected. For some mistakes, you'll have to live for the rest with It.
Kwa wanaume leo ngoja niwashauri kidogo, ama nini?:
Wakati unapomuingiza mke wako kwenye kazi zako, ndio siku ambayo unajiandalia kufeli kama mwanaume and as trained professional.
Family yako ni watoto wako— sio mke wako!— I'm sorry for being too honest trying to protect boy child.
Mke anaweza kubadilika, lakini watoto wako watabaki na wewe forever kama umewalea vizuri.
Make sure unatengeneza alliance na watoto wako — make sure unakuepo kwenye hatua zao za ukuaji.
Kazi usimuhusishe mke wako wewe boy child—Mahali pekee ambapo unatakiwa kumhusisha mke wako ni kitandani (for love) na mezani (for food).
I'm trying to protect boy child kwa sababu nimeona wanaume wengi mkiwa vulnerable sana.
Kumbu Kumbu ya Tangazo la Kifo cha Mwalimu Nyerere ambacho kilitangazwa na Rais wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa mwaka 1999.
🎥 @ITVTANZANIA
Na mm ningekuwa sina komwe ningewaringia hiv hivi,bahati yenu.....Ila standard nyingi sn humu thou nimependa kafaham kakosea na kaomba radhi,ni vema kajifunza.