Akaunti yako ya Twitter kwa Mwezi Inakungizia Sh Ngapi? Usiwaze sana 😊
Ni Muda Wako Sasa Kujiingizia Kipato Kupitia Akaunti yako.
Unachotakiwa ni Ku Download App ya Wowzi Hapa https://t.co/KouIaAhKkr
Jisajili Kama Influencer, Upate Michongo ya Pesa.
#Influencewithwowzi
Shangazi, naomba kuchangia, ila naomba niwashauri, kila mmoja aweke VPN, jana wamevamia sana space ya usiku, @IAMartin_ na Kigogo wanafahamu tulivyokuwa attacked... So VPN ziwe on tafadhali.
Katiba yetu ya Mwaka 1977 ina mruhusu Raisi kumteua mtu yeyoye katika nafasi zake za teuzi kwa namna inavyo mpendeza. Na katiba hiyo hiyo inampa nguvu Raisi yakutofuata ushauri wa taasisi yoyote au mtu yeyote. #KatibaMpya#ChangeTanzania
Mambo yao wanayokuwa wanaongea .. Au Majaliwa kasahau kuwa ni wao waliovujisha maongezi ya akina Makamba na Kinana etc those days?
👉Majaliwa anatakiwa kujua tunachotaka siyo maneno.. haki ya habari ni takwa la kikatiba na lazima liheshimike na siyo ombi. Ni lazima yaani
la ofisi ya mkoa na kufikia hatua ya kuezeka (kama linavyoonekana pichani).
Lakini nguvu yetu kwa sasa imepungua. Tunaomba wadau na wapenda mabadiliko kote nchini watushike mkono ili kukamilisha 'finishing' ya jengo hili. Lengo ni kupata angalau TZS 10M ili
kumalizia na kuweza kuhamia.
Tunaomba uchangie kiasi chochote utakachoguswa kwenda nambari (MPESA) 0756880488 jina CHADEMA NJOMBE. Asante sana na Mungu akubariki kwa kuwa sehemu ya mabadiliko.!
Anaandika Rose Mayemba Mwenyekiti wa Chadema, mkoa wa Njombe.
_______
Chadema mkoa wa Njombe tumeonesha mfano kwa kujenga ofosi zetu wenyewe ili kuondoka kwenye ofisi za kupanga. Kupitia michango ya wanachama na wadau mbalimbali, tumefanikiwa kukusanya fedha za ujenzi wa jengo
Nawatakia Watanzania wote sherehe njema za Eid El Fitr. Tusherehekee kwa amani na utulivu huku tukiyakumbuka na kuyaenzi mafunzo mema ya Mtume wetu (SAW) na yote tuliyojifunza wakati wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu awe nasi daima, Inshaallah.
Eid Mubarak.
Nawatafuta MACHENZA Jamani mpo??? Au ndio ile Saa moja shuka utosini na Kujifanya mnawaza mambo mengi ya OFISINI...
#ywna❤️
#UTANIAMBIANINI Video is OUT Link 👉🏻👉🏻 https://t.co/xKQ3GDlA5z