Kutoka Jeff Koinange 'afufuke', he has never taken life seriously kama kitambo bwana. Sikuizi unapata akirombosewa uko stenje show ikiendelea, mchana ako raundi zake kibandaski moja hadi ingine akionja mrenda, base ya kichwa, matumbo 🤣🤣
Watu wa Bnb kumbe nyinyi ndio mmevunja ndoa ya Njugush??? What happened to privacy??😪🥹.. Mbona mtume evidence aki na it's not your business. So doleful