@candytsaar98@mananajr_ sio wanakupima kila taasisi ina taratibu zake na mojawapo ni viwango vya mishahara kulingana na cheo na position ya mtumishi kwa iyo hakunaga kujipangia mshahara ,iyo ya kuulizwa tukulipe tsh izo ni taasisi uchawara
@arnold148037@mananajr_ ata kuna bro wangu naye alikimbia tigo ,hakuna muda maalum wa kazi mnara ukizingua ata usiku wa manane unatakiwa kwenda ,ata uhuru wa kusafiri nje ya kituo cha kazi inakuwa changamoto