@HzMnkai@mananajr_ Binafsi naona sio unyonyaj wanatizama ufanisi wako wa kazi kwa huo mwezi na sio kwamba utabaki kwenye hiyo 1m kila baada ya mda mshahara unapanda na marupurupu unapewa plus usafiri na chakula cha mchana ni juu ya ofisi
Kuna watu Mungu atawaleta kwenye maisha yako Mara moja wakuvushe mahali kisha waende, kosa utakalolifanya ni kujaribu kuwashikilia, waache waende kazi yao kwako imekwisha🤝
Ukitaka kuonja mateso ya ndoa,mama mtu aondoke akuachie kitoto cha mwaka mmoja na nusu au miwili,ushinde nacho kutwa nzima,oya unatamani hata kujinyonga kwa usumbufu utaoupata, salute kwa wanawake mnaolea watoto🙌🏽😅😅
@fintanjr_ Kama ilivyo Tanzania kuna waislam na wakristo na wenzetu nao wapo hivyo hivyo sema waarabu wengine waislam ila wanavaa kawaida na nywele wanaachia bongo tu ndo complicated nyingi ukija arabuni utashangazwa haswaa
Jana baada ya mechi kuisha, mashabiki wa Japan hawakuondoka tu uwanjani wao walibaki wakikusanya makopo na uchafu waliotumia. Huu ni mfano wa nidhamu na utamaduni wa hali ya juu. Njoo kwetu bongo sasa aibu utaona wewe😂😂👇👇
Kwenye ile video ya kitombagile kitwago ya joti eti wanagawa urithi joti inafika zamu yake mgawa urithi anasema
Mfagaha urithi:ndugu nishai pendekezo la marehemu banks kuna 1B point nne tano.😂
Kitombagile: eTi basi mmekwisha kuna nini tena
Harafu hela yote ya madeni 😂😂😂
Mtu akipost biashara yake au akishea wazo la maana la maendeleo, anapata likes 5 na comment 2.
Lakini mtu huyo huyo akipost video ya skendo, kuvuja kwa siri za ndani, au mambo ya aibu, anapata retweets maelfu ndani ya saa moja.
Jamii yetu inapenda kuona watu wakianguka kuliko wakinyanyuka, sad!
Kabla ya Twitter kuwa X ndiyo mtandao pekee ulikuwa unaogopeka kwa kujadili issues mpaka ukapigwa pin na ulikuwa na heshima sana,siku hizi 90% umbea,kuchambana,kudhalilishana,connections na mambo mengi ya hovyo.
10% iliyobaki ndiyo mambo ya maana hujadiliwa humu.
Tumehama😂😂😂