@EduTalkTz Msikiti ni nyumba ya ibada kwa waislamu kuita msikiti wa kitalii hii ni blasphemy?. Maharamia wanazidi kujiimalisha kwa kandarasi za ufisadi wa kutisha na kuhomola rasilimali za Nchi bila kuungana Tanganyika itabaki mifupa mitupu.
@MariaSTsehai Mataifa makubwa yote yaliyoendelea yalitoka katika umasikini na kuendelea, kwa kupata viongozi walio na akili, elimu, maarifa na maono kama Lissu tusikubali abadani kumuacha KIONGOZI wetu na ZAWADI kwa Watanganyika kuangamizwa na wauaji na madhulumati Bi Msumi na genge lake.
@Aruatani Msikiti ni nyumba ya ibada kwa waislamu kuita msikiti wa kitalii hii ni blasphemy?. Maharamia wanazidi kujiimalisha kwa kandarasi za ufisadi wa kutisha na kuhomola rasilimali za Nchi bila kuungana Tanganyika itabaki mifupa mitupu.
@Chahali Msikiti ni nyumba ya ibada kwa waislamu kuita msikiti wa kitalii hii ni blasphemy?. Maharamia wanazidi kujiimalisha kwa kandarasi za ufisadi wa kutisha na kuhomola rasilimali za Nchi bila kuungana Tanganyika itabaki mifupa mitupu.
@Mwinshehe07 Waafrika na maisha ya kimagumashi ni shida sana, wanajitungia vinadharia uchwara eti ukiwa na pesa unahitaji power. Mnajua maana ya pesa uDC, uRC, Ubunge, Uwaziri hata Urais ni pesa? Hii nadharia uchwara inafanya kazi katika ngozi nyeusi.
@Mwinshehe07 Ameacha kazi ambayo alikuwa anatumia elimu, taaluma, akili na uzoefu amerudi kuchukua kazi ya kuumiza wananchi kazi ambayo haitaji elimu isopokuwa UKATILI. Na muda wowote anaweza kutumbuliwa na kurudi mtaani.
@jamiivoice CV yako katika international arena imefika ukomo, nafasi za uDC na uRC ni za kuumiza wananchi kama kilanja wa rais haramu. Hii nafasi itakuaribia wasifu wako kama ilivyokuwa kwa Bashungwa kuwa waziri wa mambo ya ndani imearibu CV yake.
@MariaSTsehai Kuna jinai gani katika penal code ya sheria za TZ kupelekea kukamatwa?. Free Tundu Lissu, Ukweli na Haki ni maneno ya kuonyesha protest against illegal detention and trumped-up charges in a treasonous case. Endeleeni kujaza kikombe cha mateso kitafurika na hamtakuwa salama.
@MariaSTsehai@Reye79395081 Kabisa Dada tunapenda kujificha katika kichaka cha kumuachia Mungu kukwepa kujitoa dhidi ya madhalimu, Mungu anaonekana na kutenda kupitia binadamu.
@MariaSTsehai Asante Dada kwa kuweka ushetani na uharamia wa muuaji Bi Msumi na timu yake ya madhulumati hadharani. Kabudi kauza utu wake kuanzia kwa Magu na Bi Msumi, kutoka kuwa msomi wa sheria na kuwa takataka na galasa la watawala madhalimu. Watanganyika na Dunia nzima macho yao ni Nov 6.
@MariaSTsehai Amewagalagaza wauaji na madhalimu katika kangaroo courts zao, watu wote walio na akili timamu wanajua hakuna uhaini, wahaini ni Bi Msumi na genge lake waliofanya coup d’e’tat MO29/25 kwa MAUAJI. Nov 6 ni siku mpya ya safari ya UKOMBOZI wa Tanganyika wauaji wasiichukulie poa.
@lifeofmshaba Makanisa njaa haya wachungaji na maaskofu wao wana wake na watoto wamegeuka kuwa watumwa na machawa ya CCM ili kumudu maisha. Haya makanisa yamegeuka kuwa matawi ya CCM, yanastahili kutengwa na waumini wote walio na akili timamu.
@Jambotv_ Makanisa njaa haya wachungaji na maaskofu wao wana wake na watoto wamegeuka kuwa watumwa na machawa ya CCM ili kumudu maisha. Haya makanisa yamegeuka kuwa matawi ya CCM, yanastahili kutengwa na waumini wote walio na akili timamu.
@HildaNewton21@rugemeleza Dr Nshala kichwa cha Harvard na Yale (prestigious universities), ananyooka kama rula atafuni maneno akiwashughulia utawala wa madhalimu CCM. Kwa vyuo alivyosoma angekuwa mbinafsi angebaki majuu, kwa uzalendo wake akarudi home kushiriki harakati za mabadiliko na ukombozi wa kweli.
@MariaSTsehai Dr Nshala kichwa cha Harvard na Yale (prestigious universities), ananyooka kama rula atafuni maneno akiwashughulia utawala wa madhalimu CCM. Kwa vyuo alivyosoma angekuwa mbinafsi angebaki majuu, kwa uzalendo wake akarudi home kushiriki harakati za mabadiliko na ukombozi wa kweli.
@HildaNewton21@Chahali Kongole brother Chahali kwa miaka mingi unatoa elimu muhimu za kuelimisha jamii yetu bila uchoyo kwa njia ya maandishi na kuongea (YouTube channel). Hivi vitabu vitaishi pls Watanganyika/Watz tununue kwa manufaa ya kuongeza maarifa nyenzo muhimu katika ukombozi wa Taifa letu.
@Chahali Kongole brother Chahali kwa miaka mingi unatoa elimu muhimu za kuelimisha jamii yetu bila uchoyo kwa njia ya maandishi na kuongea (YouTube channel). Hivi vitabu vitaishi pls Watanganyika/Watz tununue kwa manufaa ya kuongeza maarifa nyenzo muhimu katika ukombozi wa Taifa letu.
@HildaNewton21 Hivyo viburi vya kujiona ni miungu watu ndio vinawafanya wanazidi kuabika kila siku. Wakati ambao haupo mbali unawadia MAOVU yao na MAUCHAFU yao yote hayatasitilika tena.