#SikuYaWalimu; Tunaangazia mchango, mafanikio na changamoto za waalimu shuleni.
Jiunge nasi saa kumi na moja na nusu jioni kupitia @TwitterSpaces
#ElimuYetu
Je, ni kitu gani muhimu unakikumbuka kutoka kwa mwalimu wako ulipokuwa shule?
Bodi ya Filamu: Zaidi ya milioni 300 zimerejeshwa kwa wasanii waliodhulumiwa kazi zao.
Baadhi ya waliorejeshewa pesa ni pamoja na familia ya King Majuto, familia ya Steven Kanumba, msanii Young Dee na mzalishaji wa filamu Samwel Isike.
Kama drive engine ya uchumi, niko hapa nategemea bidhaa na chakula zishuke bei pia...nauli ishuke pia...papatikane nafuu.
Twita ndinga, hii si ni kweli wanetu?
Usikubali kuona binti mdogo akifungishwa ndoa athari zake ni nyingi
Mfano kudhurumiwa haki zake, kuambukizwa magonjwa mfano Ukimwi, kupata shida wakati wa kujifungua kwa sababu viungo vya uzazi kutokomaa nk. Jiunge kupinga ndoa hizi hapa https://t.co/3u3nriLR3E #NilindeKwanza
Mwambie baba au mama kuwa kusoma nje ya nchi ni mtelezo sana kuazia milioni 3 ikijumuisha visa,nauli,ada,msosi… kusoma bongo kupenda tu.
@tassaa99 ndio suluhisho wanakusaidia hadi kupata passport.