Wananchi tuangalie highlights za Magoli yetu ya November 5 tukiwa tuna refresh....๐ช๐พ๐ฐ
Kwenye maisha ya Mpira kuna Matokeo ya aina 3
Kushinda
Kufungwa
Na Sare
Tutarudi tena tukiwa imara Wananchi. ๐ฐ๐ช๐พ
Uwanja wa Chamazi ni uwanja wetu, na Yanga ndio timu pekee yenye mafanikio makubwa sana katika uwanja wa Chamazi. Sisi ndio timu ambayo imeshinda mechi nyingi zaidi Chamazi tokea tumeanza kuutumia kama uwanja wetu wa nyumbani. Unajua siri ya mafanikio haya ni nini? Kwa sababu kila tunapocheza tupo FULL HOUSE. Wingi wa mashabiki uwanjani umekuwa chachu ya alama tatu kila mechi. Wananchi Leo ni siku nyingine.
"Nani aliyekubali kwamba sisi tunakubali uwekezaji wa Bilioni 687? nani aliyekubali kwamba sisi tumekubali rate ya kugawana mapato na DP World kwa ratio ya 40% kwa 60%? Nani aliyekubali?" - Luhaga Mpina (MP Kisesa)
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amehoji kwanini mkataba wa uwekezaji kati ya Bandari ya Dar es salaam na kampuni ya DP World haujapelekwa Bungeni ili Wabunge waupitie na kujua makubaliano yaliyofikiwa.
Mpina amehoji hilo Bungeni Dodoma leo November 07,2024 wakati akichangia mjadala wa mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya Taifa na mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 unaoendelea Bungeni.
โTulikubaliana mikataba ya HGAs iletwe Bungeni Waziri hapa anaeleza wale DP World watawekeza dola za Marekani mil. 250 kwa miaka mitano tayari Mwekezaji ameshakwenda anakusanya kodi na huo uwekezaji wake atawekeza kwa miaka mitano lakini tulikubaliana hapa Bungeni kwamba mikataba hii ya HGAs yote mitatu italetwa hapa ili tuweze kujua nini kilichokubalika ndani ya mikataba hiyoโ
โKama haitoshi sheria yetu la natural resources inasema kifungu cha 32 kwamba mikataba yote ya rasilimali iletwe hapa Bungeni naendelea kuuliza imeshindikana nini kuletwa mikataba ya Bandari ya Dar es salaam tulioingia mkataba na DP World hapa Bungeniโ
#MillardAyoUPDATES
@Marakiungu Mimi sio wa kishua na ukitoa sababu Nyingine za msingi sipendi sana kulala wawili hasa na mwanaume mwingine ni basi tu mazingira fulani yanakaba
@diversity2028 Angalau sasa chama kimefanya jukumu lake kwahyo mambo Mengine kwa namna fulani chama kinakuwa hakina uwezo nayo ,ila hadi hapo wamefanya jukumu lao