@francismtey Maswali ni Magumu sana maana juu ya swali lako pia wanasema Mungu anajua kuwaza kwetu kwa kifupi anajua kesho yetu so tunaishi kwa script aliopanga mwenyewe na anaweza ibadilisha akiamua
@ze_mandevu Basi waislam jamaa kaelezea uzoefu wake na wao kila mmoja anaishi karibu na kanisa linalomkera acheni akili mnato wakuu hata makanisa yenye kelele yanakera pia kikubwa hapo ni kelele
@BillyTronix1 Dini zenyewe zakutiana umasikini tu kila siku mnabishana mnaacha mambo ya Muhimu watu wanaendelea kuuza mali za wananchi kwa miaka ambayo mpaka ww ufe bado itakua mikononi mwa mataifa mengine
@MariaSTsehai Hii ya kusubotage watalii wasije ni mbaya sana maana maelfu ya watu wa Arusha na Kilimanjaro wanategemea ili waishi unazingua hapa huikomoi serikali