@shaks_prince@kilepi_tweve Single maza ili uende nae sawa lazima mechi muanze sawa kama ni 1-1 au ikibidi umzidi wewe watoto
Na sio jukumu lako kuhudumia mtoto/watoto wake ufanye kwa kuamua wewe na yeye ajue hilo
Hapo hata penzi likiisha maumivu yatakuwa co makali kama jamaa yako
@ITdriver05@kasesco_tz Mmmh kamba
Hizo gari ulizotaja hapo labda carina ti pekee ndio inaweza kuendana na ist tena carina ti yenye engine ya 5A yenye cc 1490 ndio inaweza kwenda sawa na ist yenye engine ya 1Nz cc 1490 zilizobakia zina cc kubwa
@prossoff Hapo endapo ungemuambia Sina mpango wa kukuoa na angeamua kuendelea ndio ilikuwa wa kumcheka ila bado unampa binti wa watu matumaini ya kumuona halafu unakuja kumcheka
@anuskills3 Sunche na kapeto ndio wametufikisha hapa tulipo
Haiwezekani anapatikana mdhamini anaweka ubaoni bil 3 halafu dau la mshindi liwe mil 50 na wao wanakaa kimya kisa Huwa wanapata favour kwa viongozi wa chama Cha mpira
Sasa hv sunche katibuana na uongozi ndio anaanza kuchachamaa
@chapo255 Tusijifiche kwenye kichaka Cha chuki dhidi ya mtu
Unataka Ali Kamwe afungiwe maisha kwa kosa gani?
Jana Ile press ilikuwa rasmi ya yanga
Na alikuwa anaongea Yale kama msemaji wa timu
Kama Kuna sehemu aliongea ambayo timu haikumtaka aongea timu ingekuwa imeshatoa taarifa