Unapendelea kauri (shells) au urembo wa vito (beads)? 🐚 vs ⚫️
Kwanini uchague kimoja wakati unaweza kuwa navyo vyote? Pata mkusanyiko huu wa kipekee kwa bei rafiki kabisa. Tsh 3000/=
DM sasa hivi! 📲
#FashionTanzania#HandmadeJewelry#businessconnect#utalii#culture
@MHelaman67006@mj0058 Takribani binadamu 12 wamekanyaga mwezini kupitia mission sita za Apolo, ya kwanza mwaka 1969 mpaka ya mwisho ya mwaka 1972 kabla ya hivi karibuni ambayo haikua na nia ya kutua katika ardhi ya mwezi bali kuzunguka kwa ukaribu zaidi kuliko mission nyingine zote za awali.
kuunda kile ninachopenda hadi kuunda kile kinachouzwa.
Kutoka kwa kifaa maalum cha uelekezaji, ulinganifu hapa unaonyesha mkono wenye nidhamu ambao umeunda mduara mzuri kutoka kwa kuni.
Sheria Ngowi x Mofat Company
Mahali Ubunifu Unapokutana na Usafirishaji!
Kwa fahari tunazindua rasmi Sare ya Mofat iliyobuniwa kwa ushirikiano na mbunifu mashuhuri wa kimataifa Sheria Ngowi ikiweka upya viwango vya taaluma, mtindo na utambulisho katika sekta ya usafiri.
“When You Say Sheria Ngowi,You’ve Said It All”
#MofatNaSheriaNgowi
#UstawiWaUsafiri
#MtindoNaMaendeleo
#ImetengenezwaTanzania
#MapinduziYaMabasiYaendayoHaraka