Huo mda wa kukaa kijiweni na kuanza kushindanisha DSTV NA AZAM TV hua mnatoa wapi hizi mada au ndo kuchanganyikiwa kiprofesheno wakuu,๐๐๐
1.DSTV NI BORA KWA KILA KITU NI GLOBAL PIA
2.AZAM TV NI BORA KWA TZ NI LOCAL TV BRAND YA KINYUMBANI NYUMBANI..
"Mtandao wa X. Ndo number 1 Duniani unatumiwa watu wakubwa sana si kwamba umri Akili zao ni Smart ๐ค sana kuliko ilivyo kawaida yake, mfano ELON MUST NA MIMI Tofauti yake yeye yupo marekani mimi nipo TZ ..
Nathibisha kwa vitendo
Mfano mimi dereva Bajaji
Elon musk science ๐ญ