π Data and Statistics Enthusiast| πΊπ¬ Passionate about stats, data, evidence based policy & sustainable development | #Economic impacts|#Data for Decisions
I was honored to present the state of Human Resource in Public Servuce Report 2025, highlighting that Uganda's Public Service operates at 55% staffing capacity #StateOfHR2025
Tourism is the engine of the ATM Strategy that is supposed to ensure the economy grows tenfold from US$50bn to US$500bn by 2040. Tourism alone is expected to grow 25fold.
Atleast 1 in every 2 approved Public Service jobs remains vacant as at 2025. These vacant areas are mostly in the Teaching Service (over 80,000). https://t.co/LQZm61om6p
Ugandas Public Service operates at only 55% staffing capacity leaving over 306,000 positions vacant in 2025. Critical sectors remain severely understaffed: Referral Hospitals(31%), Public Universities (34%) & Primary Health Care (34%). Meanwhile, recruitment rebounded to 19,338.
Honored to present Ugandaβs 2025 Tourism Performance Statistics at the dissemination event held at Imperial Royale. A proud moment to showcase the sectorβs growth, resilience, and impact on our economy. #TourismUganda@MTWAUganda@OlivielOfficial@ECA_OFFICIAL@GeoffreyManyar
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale, Dkt. Aboud Jumbe @aboudjumbe ameshiriki katika Warsha ya Uwezeshaji kwa wadau wa sekta ya utalii kupitia Programu ya Total Economic Impact of Tourism inayoendelea kufanyika Ukumbi wa Hoteli ya Verde - Mtoni Unguja .
Warsha hiyo imelenga kuimarisha uelewa wa wadau kuhusu mchango halisi wa sekta ya utalii katika uchumi wa taifa, ikiwemo ajira, mapato na mandeleo ya jamii.
Serikali ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi i inaendelea kushirikiana na wadau kuhakikisha Sekta ya Utalii inakuwa chachu ya ukuaji Endelevu wa uchumi wa Nchi.
#Zanzibar #Tourismimpacts #ECA #Africa
KATIBU MKUU WIZARA YA UTALII AZINDUA WARSHA YA TATHMINI YA FAIDA YA JUMLA YA SEKTA YA UTALII KWA TAIFA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale, Dkt. Aboud Jumbe @aboudjumbe , leo amefanya uzinduzi rasmi wa Warsha ya Uwezeshaji kwa wadau wa sekta ya utalii kupitia Programu ya Tathmini ya Faida ya Jumla ya Sekta ya Utalii kwa Taifa (Total Economic Impact of Tourism).
Warsha hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hotel Verde Zanzibar, ikiwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii wakiwemo wawakilishi wa taasisi za umma na binafsi, wataalamu wa uchumi pamoja na washirika wa maendeleo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Dkt. Jumbe alisema kuwa programu hiyo inalenga kupima mchango halisi wa sekta ya utalii katika uchumi wa Taifa, ikiwa ni pamoja na ajira, mapato ya Serikali, uwekezaji na maendeleo ya kijamii.
Alisisitiza kuwa tathmini hiyo itasaidia Serikali kupanga mikakati madhubuti ya kukuza sekta hiyo kwa tija na uendelevu zaidi.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar kwa kushirikiana na United Nations Economic Commission for Africa @ECA_OFFICIAL , yakilenga kuwajengea uwezo Wadau kuhusu mbinu za kisasa za Ukusanyaji na Uchambuzi wa takwimu za kiuchumi zinazohusiana na Utalii.
Matokeo ya tathmini hiyo yanatarajiwa kuwa nyenzo Muhimu katika kufanya maamuzi ya kisera, kuvutia Uwekezaji na
kuongeza Ushindani wa sekta ya Utalii katika soko la kimataifa. Washiriki wa warsha hiyo wanatarajiwa kupata uelewa wa kina kuhusu mbinu za kupima mchango wa moja kwa moja na usio wa moja kwa moja wa sekta ya Utalii katika pato la taifa, Ajira, mapato ya fedha za kigeni pamoja na Sekta nyingine zinazohusiana.
Warsha hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa na Dkt. Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi @DrHmwinyi katika kuendeleza sekta ya Utalii kama moja ya nguzo kuu za Uchumi wa Taifa.
#Zanzibar #eca #Tourism #Economy #workshop #Africa
What a year!!! πβ¨ Merry Christmas! May this season bring you joy, peace, and renewed hope. Wishing you love, laughter, and blessings today and always. π€π
πβ¨ Wishing you a Merry Christmas filled with peace, love, and gratitude. May the season refresh your heart and bring hope for a brighter year ahead. ππ€