Hili tukio la kikatili lilifanywa na VYOMBO vya usalama kwa mwananchi MO29.
Unaona kabisa mwananchi anawekewa bunduki huku akiwa hana hata jiwe. Anaambiwa avue nguo zote kisha adhabu inaanza dhidi yake (Zaidi ya unyama).
Yote haya wamefanyiwa watanzania ikiwa nchi ipo GIZANI. Waliamini hizi video hazitatoka na yataishia gizani.
Saizi nao wanajifanya hawamjui aliekuwa anatesa hivi watanzania na kuleta UNAFKI kwenye maisha ya watanzania.
HAKI ITAPATIKANA TUU DHIDI YA HAYA MAKATILI.