Inasemekana baada ya wazazi wake kutengana walihama kutoka London na kwenda kuishi Atlanta Georgia sheyaa akiwa na miaka 7
Baba yake aliendelea kuishi London kwa asili ni Haitian,Mama ni Dominican na alivofika US mama Sheyaa alikutana na Bwana mwingine na kuanzisha maisha mapya
Siblings.
If you have a bond or a good relationship with your siblings, without any issues, there’s no one on earth that you can trust that will have your best interest at heart like your own blood.
Kuna kitu kinaitwa "Liquid Assets".
Ni zile mali unaweza kuzibadili zikawa Cash muda wowote unaohitaji,mfano bonds za muda mfupi, securities, kwa nchi zetu hata mifugo pia inafaa.
Hii inakuepusha kujikuta unauza mali za thamani kwa bei bwelele kisa upo kwenye desperate situation.
"Usisahau kuishi..
Tunaishi mara moja, hatufanyi maigizo ya kuishi, hatufanyi rehearsal hapa ndio tumeenda jana ndio imepita..
we live once, tunaishi mara moja, hatuna rehearsal, hatuna marudio, hatufanyi mazoezi ya kuishi ndio tumeishi sasa hivi.." -Padre Dkt. Faustine Kamugisha

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏