@EngMapundajr Nadhan ni mkataba maalumu wa kufanya kaz wakat wa kombe la Dunia ata Clouds wameshirikishwa.Nd maana jamaa wa Azam amesema ni kuzidi kushirikiana na Wachambuz wa media nyingine pia.Nadhan t ni kukuza ushirikiano baina ya media kwanini muiweke y upande wa kufel
@Baradhuli2 Nadhani mweshimiwa kitila Mkumbo alimaliza kila kitu alisema ukuaji wa uchumi uendana na namna watu wanavyotoka kwenye umasikini na kutoa ajira.Hongera kwa Rais GDP inapanda na nd inatakiwa nchi za Afika zipambane sana kwenye huo upande na pia Per capital income