@ByCardoJason Over 2.5 inamaana magoli yaanzie ma3 kwenda juu
3+ maana yake kuanzia 3 kwenda juuu inaanisha ukifika tatu ni win ....
Ndo maana odds zinatofautiana kwa point chache...
Nisawa na hapo hapo sportybet option ya double chance na ya handicap +0.5 huwa pia zinatofautiana point