Leo ndo leo, tabiri ngapi ngapi na ujishindie zawadi kutoka Infinix.
Chakufanya:
1. Weka utabiri wako
2. Watag mashahidi wako
3. Like & RT
(Washindi watatu wa mwanzo watapata zawadi) Twende kazi #BeyondIntelligent
@TECNO_Tanzania Leo ndo nimethibitisha kwamba huo mnachaguaga washindi wa uongo sijaelewa kwa nn mnaanzashaga challenge alafu mnashindwa kuzimaliza halo mshindi sijaelewa ameshinda nini maana mechi iliisha Brazil 1-2 Belgium labda wenzangu mje kunielewsha
@TECNO_Tanzania @TECNO_Tanzania Leo ndo nimethibitisha kwamba huo mnachaguaga washindi wa uongo sijaelewa kwa nn mnaanzashaga challenge alafu mnashindwa kuzimaliza halo mshindi sijaelewa ameshinda nini maana mechi iliisha Brazil 1-2 Belgium labda wenzangu mje kunielew sijaelew vizr @franksamu