Kuelekea msimu huu wa krismasi na mwaka mpya, tungependa kufurahi nanyi. Kwa mara nyingine, shindano letu pendwa la ‘Zawadika na mamujee’ limekuja kivingine na jinsi ya kushiriki ni rahisi zaidi. Hii si ya kukosa. Endelea kufuatilia kurasa zetu za kijamii, mazuri yanakuja.
@BoomplayMusicTZ Ninachoipendea app ya boom play
1.inanipa nyimbo za kiafrica na za nyumbani ambazo nazipenda Sana
2. Napenda themes zake ambapo inakupa option ya kuchagua theme unayoipenda wew mwenyew
3. Urahisi wa kupakua nyimbo kwenye app
4.lugha ya kiswahili