Kila mtu ameandikiwa ridhiki yake na Mungu. Hivyo usichoke kusali na kupambana. Hakuna aliyezaliwa kuwa yeye ni wa muhimu sana kupata kuliko mtu mwingine.
#BajabirLogistics tunatoa huduma ya kusafirisha Agreegates (Kokoto) kutoka Lugoba (Chalinze) kwenda popote Tanzania,mzigo unapaswa kuanzia 20cm³ na kuendelea.
Kwa mawasiliano zaidi;
☎️ 0672 808100
Unapokuwa na mtoto haumwi lakini analia muda mrefu na huwezi kumnyamazisha, inawezekana hamuelewani lugha. Sio kila kilio cha mtoto kinamalizwa na kumnyonyesha, kumbeba, kumlaza, kumtisha, kumkemea na kumfinya.
Kilio cha mtoto kinabeba ujumbe asioweza kuusema kwa maneno—huenda anasema unamtazama lakini humwoni, unamsikia lakini humsikilizi, unambembeleza lakini humuelewi, unamnyamazisha lakini huelewi kinachomwuumiza na huenda unajaribu kumuelewa lakini wewe mwenyewe hueleweki.
Sehemu kubwa ya malezi ni kujifunza lugha ya mtoto. Usipofanikiwa kujifunza lugha ya mtoto kabla hajapata maneno ya kuelezea kile anachojisikia, inaweza kuwa vigumu kumsikiliza na kuelewa anachomaanisha hata pale anapopata maneno ya kuelezea hisia zake.
Ukiwa na hii wifi billing system yetu hutojutia iko na features nyingi na nzuri pia ni rahisi Kwa mtumiaji kuendesha biashara ya kuuza internet 🛜 in a smartway bila kutumia Nguvu
Niungisheni basi dawa za kukata hamu ya kula na kukufanya upungue kilo zaidi ta 8-10 kwa mwezi mmoja bila kutapika wala kuharisha. Bei ni 200,000/= Tu.
0780539710
0790739710.
Isingekua kusoma BIBLE sasa hivi ningekua mbele za haki, nashuhudia kwa kusema kile ni kitabu chenye nguvu za ajabu.
2022 kilinifundisha na kunivisha busara za uzee ningali mdogo sana.🙏🏾✨
Your cake plug in Zanzibar
1.Chocolate cake with milk chocolate sauce.
2. Red velvet cake
3.Vanilla plain cake
4. Carrot cake with whipped cream frosting
Mmeamkaje vipenzi 😍
PAZIA MPYA ZA KUSHONA 🔥
Kitambaa Mita 1 Tsh 15,000/
Set upana wa mita 2 Tsh 85,000/
Set upana wa mita 1.5 Tsh 75,000/
Set ni pazia nzito 2 na nyepesi 1
Urefu cm 280 ukihitaji zaidi unapata
☎️0693218525
📍 Kkoo Agrey Dar
🚚 Tunatuma popote ulipo