Katibu Mkuu KKKT Rogath Lewis Mollel akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya gafla fupi ya kuwakabidhi Madaktari bingwa waliosomeshwa na KKKT.
Hafla hiyo imehudhuriwa na Makatibu Wakuu kutoka Dayosisi za Ulanga Kilombero, Iringa, Mbulu, Kaskazini Kati (Arusha) na Kaskazini