Msajili wa vyama vya siasa tunataka barua ya wazi kwa @ccm sio barua za gizani unajua Watanzania wanajua na dunia inajua wewe msajili umegeuka kuwa kilanja wa vyama vya upinzani hasa ware wanao ikosoa hii serikali yako dhaifu ambayo haijachaguliwa na wananchi ???
We CHATANDA matatizo ya watanzani niukosefu wa ajila,maisha magumu,madawa hospitalini,Barabara mbovu kila kona uuzwaji wa bandari kwa waalabu elimu mbovu ufisadi wa viongozi wa umma na WATU KUUWAWA NA KUTEKWA shida ya Tanzania sio @ChademaTZ2 ninyie mnao taka kuuwa watu
WAMEIBA NGOMA YA KIJIJI WANAHANGAIKA KUTAFUTA MALI PA KUIPIGIA.
SIYO TU KUSITISHA USAJILI WA CHADEMA ILE BARUA NI YA HOVYO IMEANDIKWA RECLESSLY bila kujali yanayopitiwa katika Taifa labda imeandikwa na Mwanagenzi ?
Nashauri kwa uthabiti tena.Hii ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa isipodhibitiwa au kufutwa au wote waliopo hapo kuondolewa kabisa na ikaachwa iendelee na vitendo vyake vya kihalifu dhidi ya dermokrasia ya ndani ya Vyama.
Punde tutakuwa na kilio katika nchi ambacho hatutapata wa kutubembeleza ili kututuliza.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama.Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa ni Mzabibu mwitu katika shamba la demokrasia.
wahenga walisema tatizo siyo kuiba Ngoma ya kijiji.Tatizo ni pahala salama pa kuipigia.
BAK MWABUKUSI.
@YerickoNyerereT@_zack255 Wewe digidigi unakazi sana hao 300 wako wap???yaani mnanunua watu ili muonekane mna watu njooni tarime hiyo siku tutawakalibisha vizuri nyie wahuni na wapumbavu kwenye taifa letu
@SaidiJumaa10@CharlesSimba000@ChademaTZ2@TunduALissu Ungekuwa na akili usinge ongea huu ujinga kwasababu ya akili yako ndogo wewe mtoto wa changudoa ndio maana unaandika kichangudoa nikushauli mpe lawama mzazi wako wa kike alie beba mimba yako akiwa kwenye kurabu cha pombe ya kienyeji
Bwana sisit Nahoza Nahoza Ukome kutishia @ChademaTZ2 Tena Ukome kabisa msiturudishe tuliko toka Nyie Nchi hii Imefika Hapa kwasababu Yenu Tena mkome Nawataka kujitafakari nakumwachia Mh @TunduALissu Huru Maana hana hatia Tena mkiendelea kutuchokoza Mtatupata sisi sio wajinga
Watawara waovu,wanataka kufunga fikra zako na mawazo yenye faida kwenye taifa lako lakini hakika utawashinda watabaki midomo wazi kwasababu hawana sababu ya kukushikilia zaidi ya kukuogopa nataka niwambie Mwachilieni Mh @TunduALissu ili mjibishane kwa hoja wekeni bunduki chini
Mnampereka mahakamani kimya kimya hivi nyie serikali dharimu mnaakili kweli tunasema hivi Watanzania wote Mwachieni Mh @TunduALissu hana hatia achaneni na kesi za chumbani hazitawasiadia ndio zinapandikiza chuki zaidi kwa Wananchi kwanza mnajua hatukuwachagua hatuwatambui???..
Nyie serikali isio sikia hata matatizo ya wananchi Tunamtaka Mh Mwenyekiti Wetu @TunduALissu Achiliwe bira masharti kwasababu hana kosa Tunamtaka mapema sana uraiyani ili aje awape Elimu Watanzania Ambao wamepoteza Ndugu zao na walio Tengenezewa ulemavu 29.10.2025