@SportsarenatzTz Niliwahi kumjibu hajis kutokana na kauli zake za dharau mtandaoni na haikupita muda mrefu akarockiwa leo ni zamu ya ally poleni sana watani
@KibwanaEdgar VAR zisingetumika huko nje kama marefarii wote wangekuwa kama wewe, mbona jkt kabla ya tukio la kusababisha penalti tayari waliishashika mpira refarii hakuiona tukatulia au na wewe hukuona?
@SilasJoel126118@privaldinho@Tanfootball Wamepewa nini sasa hujaona hata kabla ya tukio la mchezaji wa jkt kumkumbatia wa simba tayari mwingine wa jkt alishaushika mpira kwa mikono ndani ya 18 lakini refa akapeta?
@Mzeewajambia Sasa mkuu huyo wa mkoa alikuwa na sababu zipi za kuingia uwanjani wakati @SimbaSCTanzania wanafanya mazoezi na yeye akiwa kama mlezi wa timu ya mkoa? Kama kaamuru wakamatwe na wakakamatwa huo ni uonevu mkubwa sana.
@godbless_lema Tunasumbuliwa na kuaribiwa familia sana na wake tulionao katika zama hizi za kushinda kwenye tv, mitandaoni na siku za wikiendi kushinda kwenye vikundi. Kuna wanaume wenzako huku tunajua kuoa maana watoto wetu wamekuwa na uhuru kupita kiasi mama amekuwa rafiki wa watoto kupita