๐๐ฐ๐๐๐ด ๐๐พ๐๐ ๐๐พ๐๐ณ๐ ๐ฑ๐ด๐ต๐พ๐๐ด ๐๐พ๐ ๐๐ฟ๐ธ๐ ๐๐ท๐ด๐ผ ๐พ๐๐๐๐ Never be a prisoner of your past it was just a lesson not a life sentence๐ฃ
@MariaSTsehai Maria napenda harakati zako ni nzuri but unapoteza sana focus walevi wakigombana au kushambulina ina husika vipi na uongozi wa nchi, let say mauaji yanayotokea leo Marekani ni kukosekana kwa sheria?
@TunduALissu Brother Iโm sorry kama nakosea ila kwa hadhi yako hukustahili kuomba ununuliwe gari there is somewhere wrong kama sio kwako ni chama chako tottal wrong!
@MariaSTsehai Acha kupotosha hii taarifa ya Leo ni MWEZI โช23
MFUNGUO 9 JAMADUL AKHIRA
Mwaka 1444 . Hijria
Sawa na tarehe 16/01/2023
Sawa na Siku ya IJUMATATU nawaombea afya njema na siku njema amiin
@ExMayorUbungo Inawezekana Babu mihogo zimefyatuka ni afadhali akapimwe akili pia , pengine kukosa ubalozi kachanganyikiwa na hicho kisukari ndiyo tabu.
@MariaSTsehai Kama tutaenda na upepo kupotosha kila kitu tunaweza kukosa imani ndogo kwa watu waliyonayo juu yetu are you serious haujui tofauti kati ya membo ya Rais na nembo ya Taifaโฆ?