@kimbiliolawanyo@millardayo Wewe ni mpuuzi Sana, huna akili sawasawa. Ungekuwa na kichwa basi ungekitumia kufikiri kabla ya kuandika huo ujinga wako hapa.
@PatrickJAssenga Yaani wewe Asenga, Ntobi, Yericko na wengine mna ujinga wa kiwango Cha juu sana. Mngekuwa mnatunukiwa vyeti vya ujinga basi mngestahili kupata vyeti vya juu kabisa na ninafikiri hata GPA ya point 5 kwa ujinga.
Pimeni nyakati Wazee, mnaweza kupima kupitia comments pia, itasaidia
@YerickoNyerereT Kwa hiyo Reconciliation katika hizo 4R mnakubaliana nayo na si hayo mengine? Unachokanisha ni 4R au sehemu ya hicho kinachoitwa 4R zimeimarisha demokrasia?
Njaa iko tumboni. Siku mkishiba mtarudi kwenye Utimamu (PENGINE)!
@IAMartin_ Halafu unakutana na njemba moja inamsifia Samia kwamba ameendesha MARIDHIANO kwa mafabikioa Makubwa. Ujinga hauna gharama kwa kweli, ukitaka kuwa mjinga hautakipia ada yoyote, ni Wewe na maamuzi yako tu.
Binafsi ninamwombea George na wenzake waachiwe huru kesho.
@HenryKilewo Kuna Wakati huko nyuma nilikuwa nikisikia kuna jamaa Anaitwa Henry Kilewo na anagombea ubunge Kule Jimbo la Mwanga, nilijiuliza Kilewo ni bonge la mtu smart kumbeeee, Kilewo mwenyewe ndio huyu, mweuoe kabisa halafu bonge la mjinga yaani.
Bakini na Mbowe wenu kwenye Chama tuone.
@HKigwangalla Kocha wa Yanga akimshauri kocha wa Simba namna ya kupanga kikosi chake (Simba) katika mechi ya Kariakoo Derby. Very interesting kwa kweli.
@TuliaAckson Kama mtu vile, kumbe amejaa ushetani tu ndani yake.
Alisema yeye hajui kama watu wanapotea Tanzania. It's like anaishi kuzimu, maana angekuwa duniani asingeweza kuwa hajui kama kuna watu wanapotea. Kenge
@fatma_karume Wewe Mzanzibar umekuwa mjinga sana. Mmefanya Tanganyika haina haki kabisa dhidi ya Zanzibar.
Meikalia Tanganyika ki'mabavu kwa kutumia mitutu ya Bunduki. Endeleeni, mwisho wenu upo.
@TuliaAckson Imeandikwa na Titto Magoti.
Tuliwahi kuwa na Taifa la namna hii.
Waziri Mkuu, Spika (not that ugly Tulia), & Mnadhimu wa Upinzani wanabadilishana mawazo.
Hakuna aliyehofia kutekwa & kupotezwa, kando ya visa vichache.
Alaaniwe mshenzi aliyetufikisha hapa tulipo leo.
@earadiofm EA Radio mnao ujinga wa kuzaliwa au mnajifunza kuwa wajinga ili mpate teuzi kutoka kwa mama yenu kutoka Kizimkazi? Stupid Kissa and all those participated this kind of upambavu.
@privaldinho@FKihamu Sasa Bwana Bumunda a.k.a Priva mjinga uliyepata sifuri hesabu darasa la nne. Kwa hoja yako hiyo Israel Mwenda angewezaje kucheza Singida BS bila Release Letter kutoka Simba?
NB: Farhan kajitahidi sana kuelezea vizuri mkasa wa Israh lakini mabumunda kama wewe huwezi elewa.ππ
@FKihamu Bwana Farhan habari yako?Kabla ya swali lako ulipaswa kujiuliza hivi:
Je, Timu hizo zingine zingecheza wakati gani hizo mechi za pili?
Je, bora asingetangazwa kabisa mchezaji bora wa mwezi Agosti?
Je, Mwezi Agosti ungeongezewa siku kidogo ili na timu zingine zicheze?
@TuliaAckson Rubber stamp. Umegeuza bunge kuwa wakili wa Serikali badala ya kuwasemea wananchi wanaowakilishwa na wabunge.
Au kwa kuwa mlipitishwa tu na Magufuli ndio maana mnakuwa na kiburi.?
Hebu tuambie, ni kweli haujui kwamba Kuna watu wanatekwa Tanzania? π€π€
@fatma_karume Umeamua kumtetea kwa sababu ya Uzanzibar? Tukuelewe hivyo? Inawezekanaje mtu kusema habari za kutekwa ni drama tu?
Anawezaje kufanya siasa dhidi ya maisha ya Watanzania? Kwamba kuwanyima huduma za matibabu, Shule na mambo mengine haiwezi ku'justify kuwa yeye ni Evil unasubiri nn