Top Tweets for #Serekali
#MtoMzinga mbagala ewe MUNGU tuepushe na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua, serious #Serekali inashindwa kutanua hii daraja ya mzinga kila wiki ni ajali na inaua kabisa leo tayari imeua watu 3 πππ

#Serekali kitengo cha #Latrana na @tanroadshq muanze utanuzi wa bara bara kutoka mbagala kokoto mpaka VIKINDU, maana dah! foleni kutoka saa 1 jioni mpaka saa 7 za usiku inaumiza π₯π₯π₯
#Serekali ikishirikiana na wizara ya @wizara_afyatz ime amua kuleta vipimo vya kugundua mimba kwa wadada warefu na wadada wafupi kwa sbb kipimo cha wadada warefu haki gundui mimba kwa wadada wafupi kwa sabau hawa shei MUONEKANO ππ

Hatuwezi kuamini #Serekali kwenye hili.
Kwa vituko mlivyo fanya ikiwa kejeli hadi kutumia watu wa βhovyoβ kukejeli na kutukana watu makini .., halafu mnasema tuamini? NO
MAJALIWA: TUTAWAPA DP WORLD VIPINDI SAWA NA MWEKEZAJI ALIYEKUWEPO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameomba Watanzania waiamini Serikali kwenye uwekezaji unaotaka kufanyika Bandarini, akidai sio uwekezaji wa kwanza wala sio jambo jipya bali kulikuwa na mwekezaji ambaye walimpa vipindi vya kumfanyia tathmini hadi akafika miaka 22 na ameondoka Novemba mwaka 2022; hivyo DP World naye watampa vipindi kama aliyekuwepo
Waziri Mkuu Majaliwa anasema Mwekezaji huyu mpya hajauziwa bandari, ila atapewa shughuli za uwekezaji
Kuhusu ukomo wa muda, amesema wanaodai DP World kapewa miaka 100 au milele sio kweli kwani hapajaandikwa popote juu ya ukomo ila akija ndio watakubaliana juu ya suala hilo
Soma > https://t.co/cjn15JZFFV
#JamiiForums #Governance #Accountablity #JFHuduma #JFUwajibiaji23

#Serekali ya Ccm ni kama ukoo wa Panya
Mama mwizi
Baba mwizi
Watoto nao ni wezi
@ChiefMKOMWA On #MariaSpaces #WenyeNchiWananchi
#KatibaMpya
https://t.co/fRlUpYmAzB
Ashtakiwa na TRA kwa kosa la kununua bidhaa bila kudai risiti.
Nilisoma kwenye gazeti fulani kuwa #serekali ya Tanzania inatumia zaidi ya Bilioni 500+ kila mwaka kununua magari ya viongozi. What if tungewekeza hiyo fedha kuboresha elimu walau kwa miaka miwili tu?π€Itoshe kusema viongozi wetu hawana nia ya dhati ya kutupatia elimu yenye tija.

@george__255 #serekali Ili ahidi lakin haijatimiza @ccm_tanzania yapaswa kutandika hvi viwanja nyasi bandia tunawaomba na faida yake itakuja pale tutakapo omba kuhost michuano mikubwa tutapewa first priority kwakuwa tuna viwanja vya hadhi ya kati. @azamfc chukua hii tenda ya kubandika hiv.
Tunataka #Serekali itoe ratiba ya kuanza mchakato wa #KatibaMpya . Tuanzie pale #Warioba alipoishia.
Pesa nyingi ya Wananchi imetumika kumuweka @freemanmbowetz mahabusu, mwisho wa siku Mboye ameachwa Huru ~ angelikuwa kweli ni gaidi asingelifutiwa mashtaka. #Serekali lazima zinadilike ziwe za watu Kwa ajili ya watu #KatibaMpya
#MariaSpaces #KatibaMpya https://t.co/CQZd4aDb0B
#Pemba #Zanzibar βSisi ni Watoto Yatima ambao Wazee wetu Waliuliwa kwenye Uchaguzi wa 2020β
Serekali kupitia Vikosi vya Ulinzi viliwauwa wazee wao #Serekali ina dhima juu ya Maisha ya Watoto hawa kupata mahitaji yao.#KatibaMpya #Uwajibikaji @MariaSTsehai @hassankham1s @DrHmwinyi
Achana na Sayansi Dua tupu zinatosha #Tanzania #KikombeChaBabu
Bila Ya Chanjo ya COVID hautoruhusiwa kwenda Hijja.
#Serekali iwape Uhuru watu kupiga chanjo au kutopiga..
https://t.co/U6PYntq735
@ChangeTanzania @MariaSTsehai @fatma_karume @allysalehznz @zittokabwe @Tz_Kwanza
@MariaSTsehai @halimamdee @ChademaTz @hrw @StateDRL @amnesty @UNHumanRights @FCOHumanRights Tunalalamika Wazungu wanatudharau kumbe tunajidharaulisha wenyewe kwa Matendo yetu yakinyani....
#VikosiVyaUlinzi kutumika Kisiasa kuwakandamiza Wapinzani/Wanaopigia kelele Mabaya ya Serekali..
#Serekali inapoteza Rasilimali za Wananchi kwa hasira na ujinga.. #KesiZakubambikizia
@fatma_karume Viongozi wa CCM wanaamini wao na wanawamisha wanachama wao wapo Juu ya Sheria ~~ Hata @tanpol wanaaminishwa kwamba kuwalinda CCM kwa lolote ni sehemu ya kazi yao. #Serekali na Chama chake wamepoteza Maadili.
When his Excellency @UhuruKenyatta is away the RT Hon Prime minister @RailaOdinga would take charge, no vacuum for others.... #Serekali @Asmali77 @MKarbat @HonAbdikarim

@fatma_karume #Serekali ya Magufuli inakasirika kwa kusemwa tu/ Kukosolewa mara
Unabambikiziwa Kesi au zaidi ya hayo yanakukuta...
#Papa anapiga vikofi tu halaumii. π

About 3 weeks ago we did this to our noisy neighbours @AFCLeopards
#Sirkal #MashemejiDerby #GORAFC
#TBT #ThrowbackThursday
#Mboka we are coming
#KDFDerby
Kogalo Defence Forces Vs. Kenya Defence Forces @UlinziStarsFC
Its #Sirkal vs. #Serekali
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers















