@mwigulunchemba1@SuluhuSamia Hongera sana...hasa kwenye hicho kipengere cha Maslahi ya wastร afu.
Kuna Mzee wangu mmoja hv.....atasaidika sana na bajeti hii,maana tayrai kikokotoo kilishamwasiri.....
Kuna tumaini jipya limeibuka tena!
โMwenyezi Mungu ukinipa Chungwa nimenye naweza kuhesabu MBEGU ndani ya CHUNGWA, lakini wewe waweza kuhesabu MACHUNGWA ndani ya MBEGU!! Mimi naweza kuvunja YAI kwa JIWE, wewe waweza kuvunja JIWE kwa YAIโ
By; Ambwene Mwasongwe!
Mungu,...WEWE ni Mkubwa๐ช