“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi”
Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
Jikusanyeni vijana 3–5 ambao hamjasoma sana, hamchagui kazi wala biashara, lengo moja tu kutengeneza pesa.
Kisha fanyeni Hizi Biashara, hapa kuna pesa isiyokauka.
Hizi ni biashara 15 ambazo ni game changer kwa sasa.
Ukiajiriwa unakua na UHAKIKA wa PESA ❌
Ukiajiriwa unakua na UHAKIKA wa MADENI na kulipa✅
Ukijiajiri unakuwa na FREEDOM❌
Ukijiajiri unakuwa unafanya kazi Zaidi ya ulivokuwa unafanya kwa AJIRA.✅
HOW TO INTRODUCE YOURSELF IN A JOB INTERVIEW
In a job interview, your self-introduction should be clear, confident, and relevant to the position. Here’s a basic structure to follow:
1. Greet and thank the interviewer:
“Good morning, and thank you for the opportunity to be here.”
2. State your name and current role or status:
“My name is [Your Name], and I’m currently a [Your Current Job Title] at [Company Name]”
Or, “I recently graduated with a degree in [Your Major] from [University Name].”
3. Give a quick professional background:
“I have [X] years of experience in [Your Industry or Field], where I’ve focused on [Key Skills or Responsibilities].”
4. Highlight key achievements or strengths:
“In my previous role, I led a project that [Brief Achievement], which helped improve [Result].”
5. Explain your interest in the role:
“I’m really excited about this opportunity because it aligns with my passion for [Field/Skill] and I see it as a great chance to grow and contribute to your team.”
Huwezi ukafanikiwa kwa kusema tu, "ishi na watu vizuri" nyumbani kwenu huishi nao vizuri, kamsikilize mzazi wako kwanza, elewana na mlezi wako kwanza, wapende ndugu zako...... sisi wa duniani huku, sisi tunajazia tu.
Good morning ladies and gentlemen 🤞