@Aruatani Mwanaume tu mmoja ajaribu kumtongoza tuone atafanya nini?? Kama hataki mwanamke na yeye ni mwanaume ebu mwanaume ajaribu! Akikaa kimya tumeelewa na akitangaxa hadharani pia tumeelewa๐คฃ
@Labella_Mafia95 Kuna mnaigeria mmoja alisema huu ugonjwa kwao ni kawaida sana na sawa yake kwa asili ni palm wine, ile iliyochachuka haswa, mtu anabua nguo zote then anafanywa kupuliziwa kutoka mdomon kwa mtu mwingine, kila asubuhi na jioni, sina hakika ila wao wamekua na ugonjwa huu muda mrefu
@WemaKako@prossoff Experience matters, mtu akishakua na body count na heartbreak za kutosha ni rahisi kusettle zaidi, kwasababu hakuna jipya zaidi kwake, ila huyo bikra siku akitoka kwako humkamati hata uite mgambo๐
@ladiva_255 Huu ushauri nausoma humu๐คญ nawaza kina mama wanapitia mengi, kumbe unatakiwa uzingatie hadi mtoto kudindisha toka mdogo๐ haya tutaomba mrejeo je imedinda???? Niko serious bhana
@KingPablotz Aliesema usipande ikiwa huna dharura kamaanisha, tena iwe dharura haswa kiasi usiwaze mwendo waza kufika, ukiwa na akili timamu lazima ushuke njiani๐