Ananunua magoli ooo matumizi mabaya ya pesa, wewe Sasa pembenimto unanunua goli na mnajadili vizuri.
Haya nyie magoli mnayonunua/kulipia basi mnatumia pesa vizuri utajiri mnauona huoo!!!!!
Hello @Nmb business centre kahama, mwezi mmoja sasa umepita bila msaada wa kunipa kadi yangu. Kila nikienda haipo tayari mkaniahidi kunipigia simu lakini mpaka mda huu kimya. Jibu tafadhari